Get Mystery Box with random crypto!

... Klabu ya Vipers SC ya Uganda imetuma ofa ya Tsh Milioni | OFFICIAL YANGA FORUM 🇹🇿

... Klabu ya Vipers SC ya Uganda imetuma ofa ya Tsh Milioni 230 wakitaka kumnunua mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele

Kwa mujibu wa Mwanaspoti, klabu hiyo imewasiliana na Yanga lakini Yanga bado hawajawajibu kuhusu dau hilo.

Mwanaspoti

230

Wao Bobosi walikataa na lobi walikata vipi apewe mayele au kibwana shomari kwa hela hiyo