Get Mystery Box with random crypto!

OFFICIAL YANGA FORUM 🇹🇿

Logotipo do canal de telegrama yangayamakombe - OFFICIAL YANGA FORUM 🇹🇿 O
Logotipo do canal de telegrama yangayamakombe - OFFICIAL YANGA FORUM 🇹🇿
Endereço do canal: @yangayamakombe
Categorias: Não categorizado
Idioma: Português
Assinantes: 3.76K
Descrição do canal

Hapa utaweza kujadili mambo
•Mijadala Inayohusu tetesi
•Mijadala Inayohusu habari
•Mijadala inayohusu changamoto za mipira
•Mijadala Inayohusu waamuzi
•Mijadala inayohusu timu
•Mijadala inayohusu yanga
Ungana nasii
👇👇👇👇

Ratings & Reviews

2.00

3 reviews

Reviews can be left only by registered users. All reviews are moderated by admins.

5 stars

0

4 stars

1

3 stars

0

2 stars

0

1 stars

2


As últimas mensagens

2023-05-02 17:59:34
... Klabu ya Vipers SC ya Uganda imetuma ofa ya Tsh Milioni 230 wakitaka kumnunua mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele

Kwa mujibu wa Mwanaspoti, klabu hiyo imewasiliana na Yanga lakini Yanga bado hawajawajibu kuhusu dau hilo.

Mwanaspoti

230

Wao Bobosi walikataa na lobi walikata vipi apewe mayele au kibwana shomari kwa hela hiyo
4 viewsADMIN, 14:59
Aberto / Como
2023-05-02 12:03:12 ... Safari ya wapinzani wa Yanga Marumo Gallants hadi nusu fainali.

» Gallants walifuzu kucheza michuano ya CAFCC baada ya klabu ya Mamelodi Sundowns kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu na michuano ya super 8 (FA)...

... Hivyo kikanuni ikabidi Gallants waende CAFCC kwa sababu walicheza fainali na Mamelodi licha ya kupoteza.

» Hawafanyi vizuri kwenye ligi kuu lakini hawatabiriki, wanawachezaji wazuri lakini upepo mbaya kwenye ligi kuu umewapenda. Wanashika nafasi ya (14) kati ya timu (16).

Pia wanatumia vizuri uwanja wao wa nyumbani japo hawana mashabiki wengi.

Play off - CAFCC
Al Ahli Tripoli 1 - 0 Gallants
Gallants 3 - 0 Al Ahli Tripoli

Group stage - CAFCC
Gallants 4 - 1 Al Akhdar
Lupopo 1 - 2 Gallants
USM Alger 2 - 0 Gallants
Gallants 2 - 0 USM Alger
Al Akhdar 4 - 1 Gallants
Gallants 3 - 2 Lupopo

04 - Kushinda
02 - Kupoteza

» Hawana tofauti kubwa na Yanga kwenye group stage, Yanga yeye alishinda (4) akasare (1) na akapoteza (1).

Quarter final - CAFCC
Pyramids 1 - 1 Gallants
Gallants 1 - 0 Pyramids

Semi final - CAFCC
Yanga ? - ? Gallants
Gallants ? - ? Yanga

NB ; Sio timu tishio wala sio nyepesi.. Yanga wakijipanga vizuri fainali ileeee ...

... Kwa sababu
Hata Rivers walikuwa na rekodi nzuri kama hii nyumbani kwao, Yanga ndio walioenda kuiharibu, Rivers walikuwa wana mwaka 1 hawajapoteza mechi nyumbani kwao tena wakizifunga timu kubwa tu Africa.
36 viewsADMIN, 09:03
Aberto / Como
2023-05-02 11:52:19
"...Sidhani kama Marumo (Gallants) ina timu ya kutisha kama inavyozungumzwa, hata ukiangalia mechi walizocheza kwenye ligi hawachezi vizuri kabisa.

“Lakini pia kwa sasa Yanga wana mimi nina uzoefu na mashindano haya na sehemu kubwa ya wachezaji wenzangu ni Wazoefu, lazima tuwafunge tu kwa maana tunataka ubingwa.”

Tuisila Kisinda
9 viewsADMIN, 08:52
Aberto / Como
2023-05-02 11:29:25
Kikosi kimewasili salama Dodoma na moja kwa moja kitaanza safari ya kuelekea Singida.

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
4 viewsADMIN, 08:29
Aberto / Como
2023-05-02 11:02:11
Sisi kama Yanga tuna ratiba ni ngumu sana tuna mechi mfululizo ambazo zinaweza kutuasiri kwa namna moja au nyingine hivyo tumetuma maombi kwa viongozi wa lig wajalibu kuturekebishia hii ratiba yetu

Eng. Hers Said raisi ya Yanga

Je unakubaliana na hili?

Follow na subscribe ukurasa wetu bonyeza hapa kupata habari zote KKachero TVTKachero TV
12 viewsADMIN, 08:02
Aberto / Como
2023-05-02 09:14:21 https://t.me/yangayamakombe
23 viewsADMIN, 06:14
Aberto / Como
2023-05-02 08:54:55
Tumekuandalia mambo mbali mbali kwenye michezo bonyeza hapa  kusikiliza




https://youtube.com/@tvkachero
18 viewsADMIN, 05:54
Aberto / Como
2023-05-02 05:48:35
1 viewADMIN, 02:48
Aberto / Como
2023-05-02 05:48:30
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam May 2, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania,
1 viewADMIN, 02:48
Aberto / Como
2023-05-02 05:22:17
ebwana eeeh!! kipindi hiki sio cha kukosa wahi sasa kipo moto hapa utapata kuyajua ambayo huyajui je ni kweli Yanga ndio Timu ya mwanzo kufika nusu kwa Tanzania je Tp mazembe makombe yao ya CAF matano waliyapataje ? haya twende YouTube andika kacherotv utakipata hiki kipindi kipo full mambo mengi yamezungumzwa zikiwemo na tetesi za usajili wa Azam fc, Yanga, Simba na Singida kama vile ishu ya usajili ya Luis miquissone nk
2 viewsADMIN, 02:22
Aberto / Como