Get Mystery Box with random crypto!

'...Sidhani kama Marumo (Gallants) ina timu ya kutisha kama in | OFFICIAL YANGA FORUM 🇹🇿

"...Sidhani kama Marumo (Gallants) ina timu ya kutisha kama inavyozungumzwa, hata ukiangalia mechi walizocheza kwenye ligi hawachezi vizuri kabisa.

“Lakini pia kwa sasa Yanga wana mimi nina uzoefu na mashindano haya na sehemu kubwa ya wachezaji wenzangu ni Wazoefu, lazima tuwafunge tu kwa maana tunataka ubingwa.”

Tuisila Kisinda