Get Mystery Box with random crypto!

Sisi kama Yanga tuna ratiba ni ngumu sana tuna mechi mfululizo | OFFICIAL YANGA FORUM 🇹🇿

Sisi kama Yanga tuna ratiba ni ngumu sana tuna mechi mfululizo ambazo zinaweza kutuasiri kwa namna moja au nyingine hivyo tumetuma maombi kwa viongozi wa lig wajalibu kuturekebishia hii ratiba yetu

Eng. Hers Said raisi ya Yanga

Je unakubaliana na hili?

Follow na subscribe ukurasa wetu bonyeza hapa kupata habari zote KKachero TVTKachero TV