Get Mystery Box with random crypto!

ebwana eeeh!! kipindi hiki sio cha kukosa wahi sasa kipo moto | OFFICIAL YANGA FORUM 🇹🇿

ebwana eeeh!! kipindi hiki sio cha kukosa wahi sasa kipo moto hapa utapata kuyajua ambayo huyajui je ni kweli Yanga ndio Timu ya mwanzo kufika nusu kwa Tanzania je Tp mazembe makombe yao ya CAF matano waliyapataje ? haya twende YouTube andika kacherotv utakipata hiki kipindi kipo full mambo mengi yamezungumzwa zikiwemo na tetesi za usajili wa Azam fc, Yanga, Simba na Singida kama vile ishu ya usajili ya Luis miquissone nk